Barakoa!

Barakoa! voorzijde
Barakoa! achterzijde
  • Barakoa! voorkant
  • Barakoa! achterkant

Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine. Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.

Specificaties
ISBN/EAN 9781636070247
Auteur Deana Sobel Lederman
Uitgever Van Ditmar Boekenimport B.V.
Taal Swahili
Uitvoering Paperback / gebrocheerd
Pagina's 28
Lengte
Breedte

Wat vinden anderen?

Er zijn nog geen reviews van dit product.